NEWS Dulla Makabila Ameongea Haya Baada Ya....!
Kulitokea Uvumi Kuhusu Msanii Huyu Wa SINGELI Na Mimi Kama Kiongozi Wa Muziki Wa Singeli Nimefuatilia Na
Amefunguka Haya Kataka Account Yake Ya Facebook
'' Wadau hii picha tumepiga usiku wa jana kwenye uzinduzi wa project mpya kutoka #WCB inayoitwa #nyumbayaimani maana kuna skendo zinavuma mtaani kwamba nimekamatwa kwa kesi ya mwanafunzi na kuukumiwa miaka 35 me nipo salama wanangu asanteni wote mliopiga cm kunijulia hali uwo ni uvumitu ambao sijui umetokea wapi nawapenda sana mashabiki na wadau wangu mwanenu bado npo naupambania mziki wetu wa #SINGERI ambao umefanya leo naeshimika na tanzania nzima Yangu ni hayotu kuweni na amani !!! Asante mungu kwa kila jambo''
🙏🙏🙏🙏
#nyumbayaimani🕌
@diamondplatnumz





Post a Comment