Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Beka Flavour na Kayumba wamezungumza maneno yao ya mwisho waliyoongea na marehemu Sam wa Ukweli siku chache kabla ya umauti kumkuta.
Post a Comment