Header Ads

Jinsi yakusoma Ujumbe uliofutwa WhatsApp.

Kwasasa kupitia WhatsApp unaweza kuandika ujumbe na kuutuma kisha unaweza kuufuta hivyo mtu uliyemtumia hatoweza kuusoma, Bali ataambiwa "this message was deleted".



Hivyo aliyetumiwa atabaki anajiuliza kiliandikwa kitu gani?. Sasa ufumbuzi upo na unaweza kuusoma licha ya kwamba umeshafutwa.

SOLUTION.
Ingia play store au App store kisha search App inaitwa NOTISAVE au NOTIFICATION HISTORY, binafsi natumia NOTISAVE, ukishamaliza kuipakua, Open ita load kisha fuata maelekezo ili Ku turn on iweze kusave notifications mbalimbali zinazoingia kwa phone yako.

DOWNLOAD KUPITIA LINK >>> Click here

Kisha mwambie mtu au kama una simu mbili basi jaribu kujitumia text kisha ifute, ukishaona ule ujumbe kuwa this text was deleted basi nenda kafungue ile app yako ya NOTISAVE utaukuta huo ujumbe uliofutwa na utausoma kama kawaida.

Jaribu sasa ni rahisi, kukiwa na haja ya msaada wasiliana na TEL 0738283964

img_20180423_001303_585-jpg.753895

No comments