Mambo 8 kuhusu ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines
FAHAMU: Mambo 8 kuhusu ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines, ikiwemo picha za eneo ilipoanguka na mataifa yaliyopoteza watu wengi

1- Ndege ilikuwa na Abiria 147 na Wahudumu nane na wote wamefariki dunia hakuna aliyetoka hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Shirika hilo, Tewolde Gebremariam.
2-Ndege hiyo aina ya Boeing 737 MAX ET302. Ilipoteza mawasiliano dakika 6 baada ya kuruka kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, uliopo Jijini Addis Ababa, Ethiopia.

4-Hii ni ajali ya kwanza kubwa ya ndege kutokea nchini Ethiopia tangu Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Abiy Ahmed aingie madarakani na ndiye mtu wa kwanza kutoa taarifa hizo za ajali.

6-Toleo lingine la ndege linalofanana na ndege hiyo, lilipata ajali kama hiyo miezi mitano iliyopita huko Indonesia ambapo ndege ilikuwa mali ya Shirika la Lion Air na watu wote 190 walifariki dunia.
7-Nchi zilizoongoza kuwa na abiria wengi kwenye ndege hiyo ni Kenya (32) ikifuatiwa na Canada 18. #Updates

Post a Comment